Sunday, 7 September 2014

Dk Shein awasili nchini akitokea visiwa vya Samoa


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume akitoa safarini nchini Samoa kumuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.jakaya Mrisho Kikwete katika mkutanowa tatu wa nchi za Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wazee waChama cha Mapinduzi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume aliporejea nchini akitokea Samoa katika Mkutano wa Nchi za Visiwa kumuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.jakaya Mrisho Kikwete.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wazee waChama cha Mapinduzi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume aliporejea nchini akitokea Samoa katika Mkutano wa Nchi za Visiwa akimuakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.jakaya Mrisho Kikwete.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,mara baada ya mapokezi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume aliporejea nchini akitokea Samoa katika Mkutano wa Nchi za Visiwa kumuakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.jakaya Mrisho Kikwete.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri na Makatibu waliofika kumpokea  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume akitoa safarini nchini Samoa kumuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete katika mkutano wa tatu wa nchi za Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.