Tuesday, 16 December 2014

Dk Shein afungua mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC)


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko  Nassor  Ahmed   Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.[Picha na Ikulu.]
 Washiriki wa  Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo ulioongozwana Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.]
 Wafanyabiashara mbali mbali na Viongozi wa taasisi za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar(ZBC) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alpokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]

 Wafanyabiashara mbali mbali na Viongozi wa taasisi za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar(ZBC) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alpokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
 Wafanyabiashara mbali mbali na Viongozi wa taasisi za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar(ZBC) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alpokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
 Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee akitoa taarifa yake kwa washiriki wa Mkutano wa 8 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]
 Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja na kuhudhuriwa na wafanyabishara mbali mbali (kushoto) ni  Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko  Nassor Ahmed   Mazrui.[Picha na Ikulu.]
 Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa  Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
 Mfanyabiashara Dr.Salim Nassor alipokuwa akizungumzia suala la Soko kwa wafugaji wakati wa Mkutano wa 8 wa  Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Wafanyabiashara waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Mfanyabiashara Taufuk Salum Turky alipokuwa akitoa mchango wake  na kuishauri Serikali kuchukua hatua za haraka katika kutoa maamuzi kwa miradi mbali mbali inayotaka kufunguliwa na wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa 8 wa  Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.{Picha na Ikulu.]