Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na Wananchi wa CCM na Wanachama katika Kongamano maalum la maadhimisho ya sherehe za miaka minne ya Ushindi wa CCM na kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar
Baadhi ya wanachama wa CCM walioshiriki katika Kongamano maalum kwa ajili ya kusherehekea miaka minne ya ushindi wa Dk.Ali Mohamed Shein kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baaraza la Mapinduzi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wanachama wa CCM walioshiriki katika Kongamano maalum kwa ajili ya kusherehekea miaka minne ya ushindi wa Dk.Ali Mohamed Shein kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baaraza la Mapinduzi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na baadhi ya Viongozi wa Chama baada ya kulifungua Kongamano la CCM katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu Ya CCM Balozi Seif Ali Iddi katika Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar baada ya kulifungua Kongamano la CCM katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar baada ya kulifungua Kongamano la CCM katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM(Picha na Ikulu Zanzibar)