Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa Skuli ya Maandalizi ya katika Kijiji cha Cheju Kyung-AE Lim (Mama Imu) kupitia mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka Korea, wakati alipotembelea madarasa katika Skuli hiyo baada ya kuizindua leo,ujenzi wa skuli hiyo umejengwa kwa msaada wa Shikrika la misaada la Koika katika Jamhuri ya watu wa Korea. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akipanda mche wa Mti aina ya Muembe baada ya kuzindua rasmi Skuli ya Maandalizi ya katika Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini Unguja kupitia mradi wa SAEMAUL UDONG,iliyojengwa kwa msaada wa Shikrika la misaada la Koika katika Jamhuri ya watu wa Korea,(kushoto) Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Nd,Juma Ali Juma. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
































