Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Julian Raphael akimkaribisha Waziri Mazrui (hayupo pichani) azungumze na wandishi wa Habari katika sherehe ya uzinduzi wa mpango wa elimu kwa wananchi kuhusu kuanzishwa kwa Sheria ya Biashara Zanzibar No. 14 ya mwaka 2013 katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na wandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa mpango wa elimu kwa wananchi kuhusu kuanzishwa kwa sheria ya Biashara Zanzibar No. 14 ya mwaka 2013. Sherehe hiyo imefanyika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari Abdallah Pandu wa Star tv akiuliza swali juu ya uanzishwaji wa sheria hiyo.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akijibu maswali ya wandishi wa Habari (hawapo pichani), kulia Naibu Waziri wake Thuwaiba Edington Kisasi na (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Julian Raphael.

Baadhi ya wandishi wa Habari waliofika katka sherehe ya uzinduzi wa mpango wa elimu kwa wananchi kuhusu kuanzishwa kwa sheria ya Biashara Zanzibar No. 14 ya mwaka 2013 wakifuatilia maelezo ya Waziri Mazrui (hayupo pichani) Sherehe hiyo iliofanyika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar .