Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na waislamu na Viongozi katika swala ya Magharibi katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu kabla ya futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja kwa pamoja wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Akinamama wa Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini jana
Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na MIchezo Bihindi Hamadi Khamis (wa pili kulia) akijumuika na Viongozi wengine katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini jana.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,akitoa shukurani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wake jana baada ya futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana baada ya futari iliyowaandalia katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija baada ya Futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa huo jana katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.