wananchi wa shehia ya Mtowapwani, wakisubiri kupatiwa fedha za kuwawezesha kutoka TASAF, (picha na mariam Abdi, unguja)
MRATIBU wa TASAF Unguja Nassor, akiwafafanulia jambo wananachi wa shehia ya Mtowapwani wilaya ya Kaskazini B, kabla ya wananchi hao ambao ndio maskini kugawiwa fedha taslimu shilingi 1295305 milioni kwa ajili ya kujiendeleza wao na watoto wao kielimu na afya (picha na mariam Abdi, unguja)
Wananchi wa shehia ya Mtowapwani wilaya ya kaskazin B Unguja wakipokea fedha za TASAF