Sunday, 20 July 2014

TASAF Wawawezesha wananchi wa Ndagoni

 MRATIBU wa TASAF Pemba Mussa Said, akiwafafanulia jambo wananachi wa shehia ya Ndagoni wilaya ya Chakechake, kabla ya wananchi hao ambao ndio maskini kugawiwa fedha taslimu shilingi 9,405,563 milioni kwa ajili ya kujiendeleza wao na watoto wao kielimu na afya (picha na Haji Nassor, Pemba)


MUWEZESHAJI  kutoka TASAF Salma Haji Khamis akiwaonyesa vitambulisho vipya wananchi wa shehia ya Ndagoni, ambao hupatiwa fedha za kuwawezesha kutoka TASAF, wakati akizungumza nao kabla ya kugawiwa fedha hizo kwa mara ya pili mfululizo