Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi

Mwanafunzi Isra Hilal Mwadini akifuatiwa na mwenzake Tamima Abass Sheha wakipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wakati wa hafla ya Maulidi ya Jumuiya ya Chuo cha Samael Academy.Kulia ya Balozi Seif ni Rais wa Sameil Academy Sheikh Nassir Bin Said.

Tuesday, 3 November 2015

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa Taarifa ya Serikali akisisitiza Taarifa ya awali ya Serikali iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu upotoshaji wa baadhi ya vifungu vya sheria unaendelea kufanywa na baadhi ya viongozi wa Kisiasa  juu ya uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani Rais wa Zanzibar.  Taarifa hiyo aliitoa katika kituo cha matangazo ya Shirika la Habari Zanzibar {ZBC-TV } Karume House...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa Dini mbali mbali Nchini aliokutana nao Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Vongozi wa Dini mbali mbali Nchi mara baada ya kufanya mazungumzo nao Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.  Kushoto ya Balozi Seif ni Kiongozi wa Timu ya Waislamu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi na Kulia ya Balozi ni Kiongozi wa Wakristo Askofu Augustino...

Monday, 10 August 2015

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Uongozi wa Wizara ya Elimu akitembelea majengo ya Kituo cha Mafunzo ya Amali

Haiba ya eneo la mbele la Kituo cha Mafunzo ya Aamali kiliopo Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja ambacho hufundisha vijana waliomaliza masomo yao ya Kidatu cha Nne katika fani mbali mbali za ujasiri amali. Picha na Hassan Issa – OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Uongozi wa Wizara ya Elimu akitembelea majengo ya Kituo cha Mafunzo ya...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na wataalamu wa ushauri wa Uhandisi kutoka Nchini Misri waliopo Tanzania

Makamu  Mwenyekiti wa Taasisi ya Ushauri wa Uhandisi katika miundombinu ya ujenzi, usarifu wa Miji, Majengo ya Kisasa pamoja na Vituo vya Kimataifa vya Biashara { ECG } ya Nchini Misri Mhandisi Amri Alouba  akimuonyesha  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar michoro  iliyotengenezwa na Wataalamu wa ECG ya jinsi linavyoweza kujengwa eneo la Darajani na...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa India Bwana Avul Pakir Jainulabdeen Abdul Kalam

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiweka saini kitabu cha maombolezo katika Ofisi ya Ubalozi mdogo wa India uliopo Migomani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa India Profesa Abdul Kalam Azad kilichotokea Tarehe 27 Julai 2015. Picha na Hassan Issa – OMPR Balozi Seif akimfariji Balozi Mdogo wa India aliyepo...

Thursday, 6 August 2015

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitekeleza Ahadi ya Serikali aliyoitoa Dole na Ndunduke

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Hati  ya umiliki wa eneo la Kilimo kwa Bwana Yuweni Kibwana Nzukwi  Mmoja miongoni mwa wakulima wa Vijiji vya Dole, Ndunduke na Kijichi  baada ya upatikanaji wa ufumbuzi wa mgogoro wa maeneo hayo. Picha na Hassan Issa - OMPR Mkulima Ana Nyaka Buluju wa Dole    akikabidhiwa...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifanya ziara fupi ya kukaguwa maendeleo ya ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wilaya ya Kusini

Moja kati ya majengo ya Skuli mpya ya Wilaya ya Kusini inayojengwa katika eneo la Kibuteni ambao ujenzi wake una suasua kutokana na Mkandarasi kuchelewa kupata fedha za kuendesha mradi huo. Picha na Hassan Issa – OMPR Mkuu wa ujenzi wa Kampuni ya United Builders Mhandisi Hamza Najum akimpatia maelezo Balozi Seif Ali Iddi aliyefika kukagua ujenzi wa Skuli ya Sekondari...

Tuesday, 28 July 2015

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifungua rasmi Jengo Jipya la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania { COSTECH } Ofisi ya Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifungua rasmi Jengo Jipya la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania{ COSTECH } Ofisi ya Zanzibar liliopo ndani ya majengo ya zamani ya ilichokuwa kiwanda cha Sigara Maruhubi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Hassan Issa – OMPR Balozi Seif wa pili kutoka Kushoto akipata maelezo kutoka kwa Wataalamu ...

Monday, 27 July 2015

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la Bara bara ya soko la mboga mboga Mtaa wa Mombasa hadi Skuli ya Sekondari ya Jang’ombe

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la Bara bara ya ndani ya Kilomita 3.5  iliyoanzia soko la mboga mboga Mtaa wa Mombasa hadi Skuli ya Sekondari ya Jang’ombe inayojengwa na Uongozi wa Jimbo la Mpendae. Nyuma ya Balozi Seif ni Naibu Waziri wa Mindombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Issa Haji Gavu na Kushoto ya Balozi Seif...