Wednesday, 7 January 2015

Balozi Seif azindua matembezi ya UVCCM kutimia miaka 51 ya mapinduzi


  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akivishwa skafu na vijana wa chipukizi wa CCM kabla ya kuzindua matembezi ya UVCCM kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar hapo Unguja Ukuu.
Kulia ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Nd. Sistus Mapunda na kushoto yake ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Nd. Shaka Hamdu Shaka.
  Kikundi cha Umoja wa Vijana wa CCM kikiwa tayri kuanza matembezi ya mikoa Mitano ya Zanzibar kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar
 Vijana wa Kikundi  cha Sarakasi cha Kijiji cha Bungi wakifganya vitu vyao wakati wa hafla ya uzinduzi wa Matembezi ya UVCCM kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Balozi Seif akimkabidhi Kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Nd. Daud Awesu picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambayo wataitumia katikamatembezi yao.
Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mh. Sadifa Juma Khamis na Mh. Jerry Slaa wakati kushoto ya Balozi ni Katibu Mkuu wa UVCCM Nd. Sistus Mapunda