Monday, 12 January 2015

Usiku wa Mkesha wa Fashfash Viwanja vya Maisara

 Wananchi wakiwa katika viwanja vya maisara wakisubiri muda ili kushuhudia upigaji wa fashfashi kwa ajili ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, katika viwanja vya maisara kushiriki katika hafla hiyo ya maadhimisho.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Mhe Ayoub Mahmoud, alipowasilin katika viwanja hivyo kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuadhimisha kwa upihgaji wa fashfash. 
Waheshimia wakifuatilia upigaji wa Fashfash katika viwanja vya maisara mkesha wa kuamkia 12, january, katika viwanja vya maisara 


                   Vijana wakiwa katika baskeli wakiangalia Fashfash katika viwanja vya maisara