Wednesday, 13 August 2014

DK.Shein Atembelea Karakana Matrekta Mbweni leo.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza suala kwa Fundi Mkuu wa kitengo cha ufundi wa Matrekta Iddi Makelele (kushoto) wakati alipofanya ziara maalum katika karakana ya Matrekta Mbweni  Mkoa Mjini Maagharibi leo
 Baadhi ya mafundi wakiwa katika shuhulizaozakawaida katika  wa kitengo cha ufundi wa Matrekta wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea kuona maendeleo ya kazi  katika kitengo hicho leo,kilicho chini ya Wizara ya Kilimo na Maliasili Mbweni  Wilaya ya Magharibi Unguja
Matrekta yaliyokuwa na matatizo mbali mbali yakisubiri kufanyiwa matengenezo katika  Karakana ya Wizara ya kilimo na Maliasili iliyopo mbweni wilaya ya Magharibi  Unguja,ambapo leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alifanya ziara maalum ya kutembelea karakana hiyo kuona hali halisi ua ufanisi na utendaji wa kazi.
 Baadhi ya mafundi wakiwa katika shuhulizaozakawaida katika wa kitengo cha ufundi wa Matrekta wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea kuona maendeleo ya kazi  katika kitengo hicho leo,kilicho chini ya Wizara ya Kilimo na Maliasili Mbweni  Wilaya ya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo kwa watendaji katika karakana ya matrekta  wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea katika kitengo hicho leo kilicho chini ya Wizara ya Kilimo na Maliasili Mbweni  Wilaya ya Magharibi Unguja .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa  kitengo cha uchongaji wa vifaa katika Karakana ya Wizara ya Kilimo na Maliasili Mbweni  Haji Haji Makame alipofika kuangalia mashine ya unyooshaji vitu mbali mbali vilivypinda wakati alipofanya zaiara maalum leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Juma Ali Juma wakati apotembelea katika Karakana ya Matrekta Mbweni  Wilaya ya Magharibi  Unguja.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Juma Ali Juma alipokuwa akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wafanyakazi wa kitengo cha ufundi cha matrekta Mbweni wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wafanyakazi wa kitengo cha ufundi cha Matrekta Mbweni kiliopo  wilaya ya Magharibi Unguja    baada ya kutembelea sehemu mbali mbali  alipofanya ziara maalum leo. 
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla  Mwinyi  Khamis akitoa shukurani   mbele ya      Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  kwa niaba  ya wafanyakazi  wa Kitengo cha matrekta kiliopo Mbweni  wilaya ya Magharibi Mkoa  wa Mjini Magharibi Unguja leo wakati alipofanya ziara maalum. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]