Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud (katikatiki) na kulia Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, na kushoto Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Kie. Yuanliang, wakifuatilia onesho hilo la msanii kutoka nchini India akionesha umahiri wake wa kucheza ngoma ua Utamaduni waIndia iliofanyika katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar .
Kikundi cha Chuo cha Muziki wakitowa burudani ya utangulizi kabla ya kuaza kwa onesho ya msanii kutoka India Bi Vani Madhav katika ukumbi wa ngomekongwe
MC Ndg. Farouk akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa show katika ukumbi wa Ngomekongwe
Balozi Mdogo wa India mwenye suit akishangilia moja ya onesho la ufungu la Kikundi cha Chuo cha Sanaa Zanzibar kikitoa burudani ya muziki wa mwambao, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Nchini Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akizungumza wakati wa Onesho la Muziki wa Wasanii kutoka India Bi Vani Madhav,lililofanyika katika ukumbi wa ngomekongwe.Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud, akihutubia wakati wa onesho la Msanii mahiri kutoka India Bi Vani Madhav, alipokuwa akitowa burudani ya dansi ya India, iliofanyika usiku katika ukumbi wa ngomekongwe, Akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi. Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi.Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Wananchi wakifuatilia onesho la ngoma ya Utamaduni kutoka India ikichezwa na Msanii maarufu Bi Vani Madhav,iliofanyika katika ukumbi wa ngome kongwe lililoandaliwa na Ubalozi wa India na kudhaminiwa na Baraza la Utamaduni na Uhusiano la (ICCR) na kusimamiwa ma kamati Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya India.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav akitowa maelezo ya jinsi ya onesho lake kwa wananchi waliohudhuria katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar kabla ya kuaza kwa onesho hilo lililoandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania na kusimamiwa na Kamati ya Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya India kufanikisha onesho hilo kwa Wananchi wa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud (katikatiki) na kulia Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, na kushoto Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Kie. Yuanliang, wakifuatilia onesho hilo la msanii kutoka nchini India akionesha umahiri wake wa kucheza ngoma ua Utamaduni wa India iliofanyika katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar .
Wananchi wenye asili ya India wakichukua picha ya kumbukumbu ya Msanii kutoka India Bi Vani Madhav wakati akionesha onesho lake katika ukumbi wa Ngome Kongwe Zanzibar.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya Utamaduni waIndia katika viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania .

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud, akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii kutoka India baada ya kumalizika kwa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Ngome kongwe akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd
Kamati ya maandalizi ya maandalizi ya Onesho la Msanii kutoka India Vani Madhav walioandaa onesho hilo kushirikiana na Ubalozi wa India Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Ngomekongwe Zanzibar.
Kikundi cha Chuo cha Muziki wakitowa burudani ya utangulizi kabla ya kuaza kwa onesho ya msanii kutoka India Bi Vani Madhav katika ukumbi wa ngomekongwe
MC Ndg. Farouk akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa show katika ukumbi wa Ngomekongwe
Balozi Mdogo wa India mwenye suit akishangilia moja ya onesho la ufungu la Kikundi cha Chuo cha Sanaa Zanzibar kikitoa burudani ya muziki wa mwambao, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Nchini Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akizungumza wakati wa Onesho la Muziki wa Wasanii kutoka India Bi Vani Madhav,lililofanyika katika ukumbi wa ngomekongwe.Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud, akihutubia wakati wa onesho la Msanii mahiri kutoka India Bi Vani Madhav, alipokuwa akitowa burudani ya dansi ya India, iliofanyika usiku katika ukumbi wa ngomekongwe, Akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi. Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi.Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Wananchi wakifuatilia onesho la ngoma ya Utamaduni kutoka India ikichezwa na Msanii maarufu Bi Vani Madhav,iliofanyika katika ukumbi wa ngome kongwe lililoandaliwa na Ubalozi wa India na kudhaminiwa na Baraza la Utamaduni na Uhusiano la (ICCR) na kusimamiwa ma kamati Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya India.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav akitowa maelezo ya jinsi ya onesho lake kwa wananchi waliohudhuria katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar kabla ya kuaza kwa onesho hilo lililoandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania na kusimamiwa na Kamati ya Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya India kufanikisha onesho hilo kwa Wananchi wa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud (katikatiki) na kulia Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, na kushoto Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Kie. Yuanliang, wakifuatilia onesho