Wednesday, 20 August 2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein afungua mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Serikali ya Muungano Dr.Seif Rashid alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Mkoani Arusha,kwa ajili ya kufungua mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Serikali ya Muungano Dr.Seif Rashid (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Mkoani Arusha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika jengo la Ofisi za Jumuiya ya nchi za Afrika ya Mashariki mjini Arusha leo,alipowasili kufungua  mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jumuiya ya Afika ya mashariki Mjini Arusha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jumuiya ya Afika ya mashariki Mjini Arusha leo 
 Washiri wa  Mkutano wa siku tatu wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wakati wa ufunguzi wa mkutano huo iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Jumuiya ya Afrika Mashariki
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Serikali ya Muungano Dr.Seif Rashid wakati wa  Mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jumuiya ya Afika ya mashariki Mjini Arusha.
Washiri wa  Mkutano wa siku tatu wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wakati wa ufunguzi wa mkutano huo iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Jumuiya ya Afrika Mashariki. [Picha na Ramadhan Othman Arusha.]